Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page | |
Matokeo kidato cha nne 2018 na mtihani wa maarifa(QT) 2018 Posted on: 2019-01-24 05:06:06 MUKHTASARI WA UFAULU KIDATO CHA NNE. DIV-I = 38; DIV-II = 79; DIV-III = 42; DIV-IV = 10; DIV-0 = 1. Waliojiandikisha kufanya mtihani - 170. Jumla ya waliofaulu - 169. Nafasi ya shule kimkoa - 12/159. Nafasi ya shule kitaifa - 197/3488 | |
Matokeo kidato cha nne 2018 na mtihani wa maarifa(QT) 2018 Posted on: 2019-01-24 04:52:08 Kutazama matokeo ya kidato cha nne 2018 (school candidates) fuata kiungo Asubuhi. Kutazama matokeo ya kidato cha nne 2018 (private candidates) fuata kiungo Mchana. Kutazama matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2018 fuata kiungo QT. | |