Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


Usajili wa wanafunzi wa kujitegemea (Private Candidates) 2019
Posted on: 2019-02-13 08:25:45
Usajili wa wanafunzi wa kujitegemea (Private Candidates) wa kidato cha nne na QT, kwa ajili ya kufanya mtihani wa taifa 2019 umeanza. Fika ofisi za taaluma shuleni kwetu ili kufahamu utaratibu.