Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


Mitihani ya nusu muhula Machi 2019
Posted on: 2019-03-27 03:33:28
Mitihani ya kufunga shule kwa mapumziko ya nusu muhula machi 2019 itaanza tarehe 28/03/2019. Shule itafungwa tarehe 05/04/2019, na kufunguliwa tena tarehe 23/04/2019.