Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


MAHAFALI KIDATO CHA 4 2019
Posted on: 2019-10-17 07:29:36
Siku ya jumamosi ya tarehe 19/10/2019 kutakuwa na sherehe za mahafali ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2019, hapa shuleni kwetu Alfagems. Sherehe hii itaanza saa 2:00 asubuhi, ambapo kutakuwa na misa ya pamoja mapema asubuhi kisha kujumuika katika viwanja vya shule ambapo muongoza sherehe atatoa taratibu na ratiba nzima ya shughuli. Tunawakaribisha wote!