Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


NECTA - Usajili wa watahiniwa wa kujitegemea (PC) 2020
Posted on: 2020-01-08 05:32:00
Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea (Private Candidates) wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) 2020 umeanza tarehe 01/01/2020 na utafungwa rasmi tarehe 29/02/2020. Fuata kiungo hapo chini kwa maelezo zaidi