Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


OMBI (FOMU) LA KUJIUNGA NA KIDATO CHA 5 2021
Posted on: 2021-02-02 02:23:08
BOFYA kiungo KIDATO CHA 5 - 2021 ili kupakua fomu (ombi) ya kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021 shuleni kwetu Alfagems. Au BOFYA kiungo KIDATO CHA 5&6 MWAKA MMOJA ili kupakua ombi (fomu) la kuandaliwa mwaka mmoja kwa mtihani wa kidato cha 6 kwa mwaka wa masomo 2021