Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


RATIBA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA 4 - 2021
Posted on: 2021-08-19 04:59:03
Ratiba ya mtihani wa taifa kidato cha 4 2021 imetoka. Ambapo mtihani utaanza tarehe 15/11/2021, na kumalizika tarehe 02/12/2021. Tunawatakia mtihani mwema wanafunzi wote. BOFYA HAPA kutazama.