Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


Ujumbe kutoka ofisi ya mkuu wa shule
Posted on: 2018-11-28 03:24:36
Wanafunzi wengi wa kiume wana suruali za sare ya shule ambazo wamezibana chini. Kipimo cha suruali ya sare ya shule ni inchi 16 upana wa chini miguuni. Hivyo, ukiwa kama mzazi au mlezi, unaombwa umuulize mtoto kuhusu suruali yake, kama amerudi nayo ikague kama imebanwa chini miguuni, irekebishe. Kama ikishindikana ujiandae kumnunulia nyingine kwa ajili ya mwaka mpya wa masomo 2019. Kutoka ofisi ya mkuu wa shule.