Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page | |
MATOKEO YA USAILI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 ULIOFANYIKA 12/11/2022 HAYA HAPA Posted on: 2022-11-16 17:02:45 Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza katika shule yetu, kwa mwaka wa masomo 2023, uliofanyika tarehe 12/11/2022, ambapo ni awamu ya pili ya usaili, yametoka. Fuata kiungo MATOKEO kuona. Karibuni sana. | |