Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


MATOKEO YA USAILI KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023, ULIOFANYIKA TAREHE 17/12/2022, HAYA HAPA
Posted on: 2022-12-20 06:31:11
Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza hapa shuleni kwetu, kwa mwaka wa masomo 2023, yametoka. Tafadhali fuata kiungo TAZAMA, ili uweze kuona. Karibuni sana.