Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page | |
MATOKEO YA USAILI KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024, ULIOFANYIKA TAREHE 11/11/2023 (AWAMU YA PILI), HAYA HAPA Posted on: 2023-11-17 05:47:32 Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza katika shule yetu, kwa mwaka wa masomo 2024, uliofanyika tarehe 11/11/2023, ambapo ni awamu ya PILI ya usaili, yametoka. Fuata kiungo MATOKEO kuona. Karibuni sana. | |