Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


MATOKEO YA USAILI KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024, ULIOFANYIKA TAREHE 16/12/2023 (AWAMU YA TATU), HAYA HAPA
Posted on: 2023-12-20 02:49:53
Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza katika shule yetu, kwa mwaka wa masomo 2024, uliofanyika tarehe 16/12/2023, ambapo ni awamu ya TATU ya usaili, yametoka. Fuata kiungo MATOKEO kuona. Karibuni sana.