Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page | |
Kufunguliwa shule na kuanza masomo 2019 Posted on: 2018-11-28 04:38:51 Shule yetu itafunguliwa tena siku ya jumatano ya tarehe 02/01/2019, ambapo wale wa bweni wanatakiwa waje siku moja kabla, ambayo ni tarehe 01/01/2019 kabla ya saa 10:00 jioni. Kwa wale wanafunzi watakaochelewa zaidi ya muda huo waje na wazazi wao. Pia tunawakumbusha wazazi kutimiza wajibu wao wa kulipa ada kwa wakati. | |