Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page | |
Wanafunzi wanaobaki kwa masomo ya ziada Posted on: 2018-11-28 04:47:27 Katika kipindi hiki cha mapumziko ya mwisho wa mwaka, kuna wale wanafunzi waliopo chini ya wastani wa shule, wanalazimika kuendelea na masomo ya ziada kwa muda wa wiki 3, kuanzia tarehe 03/12/2018 mpaka tarehe 21/12/2018. Hii ni kutokana na makubaliano ya kikao cha wazazi kilichofanyika tarehe 13/10/2018, ambapo ada itakuwa ni sh 30,000, na wale watakaokaa bweni watalipa sh 60,000. | |