Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


Usaili kidato cha 1 mwaka wa masomo 2019 (awamu ya pili)
Posted on: 2018-12-18 05:20:43
Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2019 yametoka. Yatazame hapa kwenye tovuti yetu

Usaili kidato cha 1 mwaka wa masomo 2019 (awamu ya pili)
Posted on: 2018-12-15 02:33:05
Usaili wa kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2019 (awamu ya pili) umefanyika leo siku ya jumamosi tarehe 15/12/2018. Matokeo yatapatikana shuleni na kwenye tovuti yetu kuanzia siku ya jumanne tarehe 18/12/2019.